literary

adj -a maandishi, -a fasihi; -a waandishi ~ man mwandishi au mpenda fasihi ~ property haki ya mwandishi/mtunzi ya mrabaha na faida zinazotokana na kazi yake ~ criticism uhakiki wa fasihi. literate adj 1 -enye elimu, -somi. 2 -enye kujua kuandika na kusoma. n mtu ajuaye kuandika na kusoma, mwenye elimu ya kadiri/ya kutosha. literati n wasomi, maulama, wanazuoni. literature n 1 fasihi. 2 vitabu/ maandiko mbalimbali (ya nchi au kipindi fulani). 3 maelezo; matangazo.