listen

vi sikiliza; sikia ~ to somebody singing sikiliza mtu akiimba ~ in (to) somebody pulikiza, sikiliza mtu katika redio; sikiliza (kwa siri). listener n msikilizaji. listening post n (mil) kituo cha kupulikiza maadui; (fig) mahali pa kupata maelezo mbalimbali.