liquor

n 1 (GB) pombe, kileo; (US) pombe kali. 2 (cooking) maji ya kupikia pombe. 3 maji yatokanayo na kupika/kuloweka chakula. vt chuja, keneka, tonesha. ~up -lewesha na pombe kali. liquorish adj (of person) -liopenda ulevi.