liquid

n 1 uwoevu kitu kama maji, kimiminiko. 2 (phon) konsonanti l au r adj 1 -oevu, -a majimaji, -a kimiminiko. ~ gas n gesi oevu/ miminiko. 2 (of sound) laini, -ororo. 3 -eupe, angavu. 4 -enye kubadilika-badilika. 5 (in finance) epesi kusarifika ~ assets mali rahisi kubadilishika kwa pesa taslimu. liquidate vt,vi 1 lipa deni. 2 filisi, filisika. 3 (sl) ua. liquidation n ulipaji deni. go into ~ ation filisi; filisika. liquidated adj filisika/filisiwa. liquidator n mfunga hesabu (wa kampuni/duka); mfilisi. liquidity n umajimaji, uoevu; uwezo wa kupata pesa, ukwasi. liquidize vt ponda matunda n.k. yawe rojorojo. liquidizer n kigeuza maji, kioeshaji.