1n 1 pete (ya mnyororo). 2 (person or thing) kiungo missing ~ kiungo muhimu kinachokosekana; mnyama (kiungo) kati ya sokwe na binadamu. linkmann mtu wa kati; (in games) mchezaji (wa) kiungo. 3 kifungo (cha mkono wa shati). 4 kipimo cha urefu (sawa na sentimita 20). vt,vi~ (up) unga; ungana; jiunga na; unganisha; husiana; husisha ~-arms unganisha mikono. linkagen; linkupn unganisho.