linguist

n 1 mwana isimu. 2 mjuzi wa lugha kadha. linguistic adj -a isimu, -a lugha. linguistics n isimu: sayansi ya lugha (maumbo, miundo, matamshi, maana na matumizi). applied ~ics n isimu matumizi.