lingual

adj -a ulimi, -a lugha. audio-~ methods n mbinu za kusikiliza na kusema. bilingual adj -a lugha mbili. multilingual adj -a lugha nyingi. lingua franca n lugha ya biashara/mawasiliano (k.m. Kiswahili katika eneo la lugha nyingi mbalimbali).