linen

n kitani, nguo ya kitani (hasa shati na nguo za meza na kitanda). ~-draper n mwuza nguo za kitani na pamba. wash one's dirty ~ in public toa siri za nyumbani hadharani adj -a kitani.