1n 1 (cord) kamba; ugwe; uzi; waya. fishing ~n ugwe wa kuvulia samaki telephone ~ waya wa simu hang the clothes on the ~ anika nguo kwenye kamba. party/shared ~n simu inayomilikiwa na watu zaidi ya mmoja. 2 mstari (uliochorwa) (games) cross the ~ vuka mstari. linagen 1 idadi ya mistari. 2 malipo juu ya idadi ya mistari katika aya. 3 alama ya mstari mwilini, kunyanzi; mistari kwenye kiganja. 4 kontua; umbo la nje. 5 (of people/things) safu, foleni. in (a) ~ kwenye mstari on the ~ (of exhibitions) sawa na macho ya watazamaji. 6 mpaka the ~ betweenKenya and Uganda mpaka kati ya Kenya na Uganda. 7 Ikweta cross the ~ vuka Ikweta. 8 reli, njia moja ya reli. reach the end of the ~ (fig) fikia mwisho; fikia kuachana. 9 shirika la usafiri an air~ shirika la usafiri wa ndege shipping ~ shirika la usafiri wa meli. 10 mwelekeo; mkondo; njia you should keep to your own ~ shikilia msimamo wako communication ~s, njia za mawasiliano. choose/follow/take the ~ of least resistance fuata njia iliyo rahisi. take a strong/firm ~ (over something) chukua mweleko imara. do something along/on sound/ correct etc ~s tumia njia/mbinu sahihi. (be) in/out of ~ (with) kubaliana/-tokubaliana na. bring something into ~ patanisha, sababisha makubaliano. come/fall into ~ (with) kubali, shawishi maafikiano. toe the ~ (fig) -wa na nidhamu, tii. the party ~n itikadi ya chama. 11 mfuatano, ukoo. 12 (writing/print) mstari wa maneno. drop somebody a ~ (colloq) andikia barua. read between the ~s (fig) ona maana iliyofichika. Marriage ~sn (GB colloq) cheti cha ndoa. linesn maneno ya mwigizaji; mistari inayoandikwa kama adhabu (agh. kwa wanafunzi wa shule za msingi). 13 mstari wa mbele. front ~n vikosi vilivyo mstari wa mbele karibu na adui. all along the ~ katika kila hali. go up the ~ enda mstari wa mbele. 14 (mil) safu ya mahema, vibanda kambini. 15 the ~n (GB army) jeshi la askari wa miguu; (US army) jeshi. 16 (mil) safu mbili sambamba za askari. 17 (naval) ~ abreastn (meli) zilizokaa sambamba. 18 shughuli; kazi. his ~ is banking anafanya/kazi benki. 19 (trade use) aina ya bidhaa. 20 Hard ~sn bahati mbaya! pole. 21 (sl) shoot a ~ jigamba. ~ shootingn. ~ shootern. 22 (colloq) give somebody/get/have a ~ on something toa/pata habari zaidi juu ya jambo fulani. linearadj -a mstari; -a mistari ~ar measure vipimo; (maths) ~ar combination matangamano mstari ~ar equation milinganyo mstari ~argeometry jometrii mstari ~ar translation uhamisho mstari ~ar transformation mbadiliko mstari. lineationn uchoraji mistari. linemann (electricity) fundi (wa) waya (za simu/umeme). vt,vi 1 tia alama za mstari. ~d papern karatasi zenye mistari ~ in a contour chora kontua kwenye ramani. 2 -wa na mistari, funika na mistari; kunjika katika mistari pain had ~d her forehead maumivu yalisababisha uso wake kujikunyata. 3 line-up panga mstari/foleni; simama mstarini. upn mpangilio; foleni, safu; ratiba. 4 fanya, panga mstari/jipanga crowds of people ~d the street to cheer their leader vikundi vya watu vilijipanga katika mtaa kumshangilia kiongozi wao.
line
2vt~ something (with something) 1 weka kitambaa ndani; ongeza vitu katika sanduku, mfuko. 2 (fig) jaza, -wa na fedha nyingi he ~d his purse well amepata pesa nyingi, alitengeneza pesa kweli.