linchpin

n kipini cha chuma (mwisho wa ekseli) kinachofanya gurudumu lisiachie; (fig) kiungo muhimu, mtu/kitu muhimu katika shughuli/ sehemu fulani.