limit
n 1 mpaka, upeo, kikomo that's the ~ ! basi! there's a ~ to my patience uvumilivu wangu una kikomo there's a ~ to every thing hakuna lisilokuwa na kikomo you're the ~ umezidi, mtu hawezi kukuvumilia set a ~ weka mpaka. within ~s kwa kiasi fulani city ~s mipaka ya jiji. without ~ bila kikomo. off ~s ni marufuku. 2 (of business) mpango. 3 ua, mzingo. vt 1 zuia, wekea mpaka/kikomo. ~ ed adj -dogo, finyu, chache; -enye mipaka. ~ed liability company (Ltd). n kampuni yenye dhima ya kikomo L~ ed Monarchy utawala wa kifalme ulio na mipaka. limitless adj bila kikomo. limitation n 1 kikomo, mpaka. 2 ufinyu, upungufu; udhaifu he knows his ~s anafahamu udhaifu wake.