1n ndimu. ~ treen mdimu. ~ juicen juisi/maji ya ndimu.
lime
2n 1 chokaa. 2 lime-kilnn tanuu, chomeo la chokaa. (bird) ~n ulimbo. vt 1 paka kwa ulimbo. 2 nasa ndege kwa ulimbo. limelightn taa yenye nuru kali (kwenye jukwaa) he is fond of the ~ light apenda kujitokeza, kujionyesha mbele ya watu. be in the ~light wa maarufu, julikana. limestonen gange, mawe ya chokaa.