limbo

n 1 in ~ kusahaulika. 2 sehemu ya kuzika vitu. 3 limbo (rel.) sehemu ya ahera ziendako roho za watoto na watu wema wasiobatizwa.