limb

n 1 kiungo (mkono, mguu) there is pain in all my ~s maungo yote yaniuma. 2 tawi. leave somebody/ be/go out on a ~ acha mtu; jitenga; (colloq) jiweka katika hali ya hatari. 3 (colloq) ~ of the devil/satan mtoto mkaidi. limber adj laini. vt,vi ~ (oneself) up -fanya mazoezi ya mwili (kwa ajili ya kuulainisha).