like
like
1 adj sawa, -a kufanana. as ~ as -enye kufanana kabisa, sawasawa kabisa. in ~ manner hivyo. ~ father ~ son (prov) rupia kwa nyenzie, mtoto wa nyoka ni nyoka; kufanana kwa baba na mtoto. be ~ fanana na, landa; -wa sawa, twaana. like-minded adj -lio na mawazo/ malengo n.k. sawa adv 1 ~ as (archaic) kwa namna ile ile. 2 kwa uwezekano, labda. ~ enough; most/very ~; as ~ as not penginepo; kwa uwezekano mkubwa conj 1 kama she can't cook ~ her father does, hawezi kupika kama baba yake. 2 (non-standard use) kama vile, kana kwamba it looks ~ rain inaonekana kana kwamba mvua itanyesha. n 1 mtu/kitu kama hicho I never heard the ~ (of it) sijasikia kitu kama hicho. 2 the ~ of (colloq) watu/vitu vya namna hiyo the ~ of us watu kama sisi prep 1 kama, kama vile. nothing ~ pasipo kifani. something ~ kitu kama. 2 elekea feel ~ jisikia kama do you feel ~ having a rest? ungependa kupumzika? looks ~ onekana kama he looks ~ winning inaonekana kama anashinda. 3 ndivyo ilivyo that is just ~ him ndivyo alivyo. 4 namna, kama don't talk ~ that usizungumze namna hiyo. 5 (colloq,sl). ~ anything mno; kama inavyopaswa. ~ mad/crazy mno. ~ hell/blazes kwa nguvu; (as an int) wala! liken vt ~n something to something fananisha, linganisha. likeness n 1 mshabaha, mlingano, ufanani have a ~ness -wa mfano mmoja, fanana, landa they have a great ~ness wamefanana sana. in the ~ of katika mfanano. 2 kifani, taswira, sanamu, picha inayofanana na mtu mwenyewe take somebody's ~ness fanya mchoro wa sanamu ya mtu fulani.like
2 vt 1 penda she ~s him anampenda. 2 (In neg sentences) kataa, sita, -topenda I didn't ~ to disturb you sikutaka kukusumbua. 3 (with should, would) they would ~ to come wangependa kuja. 4 pendelea, chagua, taka I ~ this more than that napendelea hii kuliko ile. if you ~ kama unataka, ukipenda. 5 faa kiafya, penda the food doesn't ~ me chakula hiki hakinifai. likable/likeable adj -enye kupendeka she is likable/ ~able anapendwa. liking n mapenzi, matakwa, upendeleo have a linking for penda to one's liking kama mtu apendavyo.