lightning

n radi a flash of ~ mwale/ kimulimuli cha radi. like ~ adj -epesi kama radi. with ~ speed haraka sana. lightningbug n (US) kimulimuli, kimetameta. ~ rod-conductor n ufito wa kuzuia radi. ~ strike n mgomo wa kushtukiza.