light

light

1 adj 1 (of colour) -siokoza, -sioiva angazi, -a ~ brown kahawia isioiva, hafifu. 2 (of a place) -enye mwanga.~ coloured adj -enye rangi isiyoiva. n 1 nuru, mwanga the ~ begins to fail mwanga unaanza kufifia day ~ mchana. in a good/bad ~ (of picture etc) -a kuonekana vizuri/vibaya; (fig) eleweka vizuri/vibaya. see the ~ (liter or rhet) zaliwa; baini; tangazwa; tambua; -okoka. be/stand in one's ~ kinga nuru; (fig) zuia mtu mafanikio/maendeleo yake. stand in one's own ~ zuia kazi yako isionekane; fanya kinyume na matakwa yako. ~ year n (astron) kipimo cha umbali kati ya nyota. 2 taa. ~s out muda wa kuzima taa. the northern/southern ~s n miali ya mwanga katika ncha za kaskazini na kusini. 3 mwako wa moto; kiberiti strike a ~ washa moto; washa kiberiti. 4 uchangamfu (usoni mwa mtu). the ~ of somebody's countenance (biblical) kupendezwa kwake. 5 ufafanuzi; uvumbuzi unaobainisha, kuelewa. come/bring something to ~ funua, funuka, (ji)tokeza, bainisha. shed/throw (a) new ~ on something fafanua zaidi, toa habari/taarifa mpya. in the ~ of kutokana na, kwa kuzingatia by the ~ of nature kwa akili za asili. 6 jinsi (ya utendaji); hali I have never looked upon the matter in that ~ sijawahi kuchukulia jambo hili katika mtazamo huu. 7 uwezo, kipaji. according to one's ~s kufuatana/ kulingana na kipaji chake. 8 mtu maarufu, mashuhuri, mtu anayechukuliwa/tolewa kama mfano. 9 dirisha, sehemu ya kupitishia mwanga. 10 (paintings) uangavu, sehemu ya mwanga (ya picha). 11 (compounds) lighthouse n mnara wa taa wa kuongozea meli. lightship n meli yenye taa za kuongozea meli nyingine. vt,vi 1 washa. 2 toa mwanga, mulika. 3 ~ up washa, mulika ~ing-up time muda wa kuwasha taa za barabarani pamoja na magari; (colloq) anza kuvuta/washa (sigara au kiko). 4 furahia mno. ~ up (with) (of a person's face or expression) -wa angavu. 5 ongoza; ongozwa kwa mwanga wa kitu. 6 ~ something up fanya iwe na mwanga. lighter n 1 kiberiti cha chuma/plastiki. 2 mtu/kitu kihusikacho na kuwasha taa. lighten vt,vi 1 ng'arisha; mulika. 2 -wa angavu. 3 toa mwale wa radi; metameta.

light

2 adj 1 (in weight) -epesi, rahisi, sahala. ~horse/light-armed adj askari wenye silaha nyepesi. 2 polepole; -a makini, -tulivu, -angalifu walk with ~ footsteps nyemelea; nyata. light-handed adj. -a mkono mwepesi. ~ handedly adv light-fingered adj -epesi kutumia vidole; stadi katika kuiba. 3 pungufu, shoti. 4 (of beer, wines) -sio kali sana; (of food) laini; (of meals) -dogo; (of sleep) lepe, -sio zito; (of books, plays, music) -a kuburudisha; (of soil) laini, -epesi; (of work) rahisi; -epesi; (of taxes, punishment) -dogo, -epesi; (of a syllable) -siokuwa na mkazo. make ~ work of something fanya bila shida. 5 -sio nguvu; -sio muhimu; -dogo a ~attack of illness ugonjwa usiokuwa na nguvu/mdogo. make ~ of dharau. 6 pumbavu; -sio makini; - puuzi. ~minded adj. lightmindedness n. 7 changamfu. ~ heart n moyo mchangamfu. ~ hearted adj. ~ heartedly adv. ~ heartedness n. 8 -enye tabia mbaya, fisadi, kware. 9 -a kizunguzungu. ~ headed adj. ~ headedly adv. ~ headedness n. 10 (compounds) ~-o-love n mwanamke kigeugeu; malaya. lightweight n,adj (man or animal) chini ya uzito wa wastani; (boxing) uzito mwepesi (kati ya kg 57 na 61); (fig) mtu asiye muhimu. ~-heavyweight n mwanamasumbwi mwenye uzito kati ya kg 72.5 na 79.3 adv kwa wepesi, kwa urahisi travel ~ safiri na mizigo michache. lightly adv. lightness n. lighten vt,vi punguza; punguka uzito ~en a ship's cargo punguza shehena melini. lightsome adj -epesi; -enye miondoko ya kupendeza; cheshi. vi ~ on/upon bahatisha ~ upon a rare commodity in a village shop bahatisha kupata bidhaa adimu katika duka la kijiji.