lift

vt,vi 1 inua, pandisha, nyanyua, kweza. ~ up one's eyes (to) angalia, tazama (juu). ~ up one's voice paaza sauti. 2 ~ off (of a space craft) tweka; ruka, ondoka. 3 (of clouds, fog) panda, potea the fog began to ~ ukungu ulianza kutoweka. 4 chimbua; (root crops) ng'oa. 5 iba, sogeza. 6 ondoa (agh kizuizi, upigaji marufuku). n 1 kuinua; msaada. give somebody a ~-pa mtu lifti/msaada, beba; (of a person's spirits) fariji, changamsha. 2 (US elevator) lifti ~-and-force pump pampu la kuvuta na kusukuma. ~-attendant/boy/man n opereta wa lifti.