library

n 1 maktaba a walking ~ (fig) mjuzi. mobile ~ n maktaba inayosafiri public ~ maktaba ya umma reference ~ maktaba ya marejeo. 2 (attrib) -a maktaba ~ edition toleo la kitabu kikubwa na chenye jalada gumu. 3 chumba cha kuandikia na kusomea katika nyumba binafsi. 4 mfulululizo wa vitabu vya aina na jalada la namna moja vilivyotolewa na mchapishaji mmoja. librarian n mkutubi: mwangalizi wa maktaba librarianship n ukutubi.