liberty

n 1 uhuru; haki/uwezo wa kujiamulia la kufanya people defended their ~ watu walilinda uhuru wao. at ~ (of a person) huru we are at ~ to stay with them tuko huru kuishi nao. set somebody at ~ achia mtu, pa mtu uhuru, toa mtu utumwani. ~ of conscience uhuru wa kuamini agh. dini. ~ of speech uhuru wa kusema (fikra za mtu) hadharani. ~ of the press uhuru wa kuandika na kuchapisha (majarida, vitabu n.k.) bila kuingiliwa. 2 kutenda jambo bila ruhusa ya mwenyewe; kutenda yasiyo haki. take the ~ of doing something jiamulia he took the ~ of using my car while I was away alijiamulia kutumia gari langu pasi na ruhusa yangu nilipokuwa sipo. take liberties with somebody zoeana na mtu kupita kiasi. 3 (pl) fadhila au haki zilizotolewa na mamlaka fulani the liberties given by Scopo haki zilizotolewa na Scopo. libertarian n mpigania uhuru wa mawazo, dini; uhuru wa kufikiri na kutenda.