liberal

adj 1 -karimu, -paji; -ema she is ~ with her money yu mkarimu na fedha zake. 2 -enye mawazo mapana na huru; -siokuwa na upendeleo. 3 (of education) -a elimu (ya kupanua mawazo). the ~ arts n masomo ya sanaa na sayansi za jamii k.m. historia, lugha n.k. 4 (politics in GB) -a chama (cha Liberal) chenye kupendelea mabadiliko ya wastani. n mpenda maendeleo na mabadiliko. n mwanachama wa chama hicho. liberalism (views/ideas/principles) n msimamo, fikra za kupenda mabadiliko. liberalize vt panua, legeza masharti (ya biashara n.k.). liberalization n. liberality n ukarimu, upaji, ufadhili, kutobagua, kutopendelea his ~ities have made him poor ukarimu wake umemfilisi.