libel

n 1 (kuchapisha) maandishi ya kukashifu; maandishi yenye kutweza hadhi ya mtu criminal ~ kashifa za kijinai. 2 ~ on (colloq) dhalala, kashfa. vt kashifu (kwa maandishi), singizia vibaya/bure. libeller n. ~lous;(US) ~ ous adj.