levy

vt,vi 1 ~ (on) toza. 2 (of soldiers) andikisha kwa lazima. ~ war upon/ against anzisha vita. 3 ~ on twaa/ kamata kisheria. n 1 ada, kodi. 2 pl makundi ya wanajeshi development ~ kodi ya maendeleo.