level
n 1 usawa on a ~ with sawa na (cheo, daraja, ardhi n.k.) on different ~s usawa usiolingana, mbalimbali be on the ~ -wa sawa; (fig) sema ukweli; (flat area) mahali pa sawa find one's ~ fikia kiwango chako sawa. 2 pimamaji. 3 kiwango rise to higher ~s fikia viwango vya juu zaidi; ngazi top ~ officials maafisa wa ngazi ya juu. 4 on the ~ (colloq) kweli, wazi adj 1 sawa (bila kuinuka) a ~ crossing tambuka reli; njia panda ya reli na barabara, chekereni; makutano. 2 usawa ~ race mbio za kukaribiana. 3 have a ~ head -wa tulivu, bila papara. ~ headed adj tulivu. do one's ~ best fanya vizuri uwezavyo. vt,vi 1 sawazisha. ~ something down/up linganisha/ sawazisha vitu. 2 bomoa (nyumba, ukuta n.k.), angusha; shusha ~ to the ground bomoa kabisa. 3 (aim) elekeza, lenga ~ a gun at lenga shabaha. 4 ~ off (airplane) fanya ndege iwe sambamba na ardhi; (fig) fikia kiwango (ambapo hutegemei kupanda zaidi). leveller n msawazishi: mtu ambaye anataka kuondoa tofauti zote za jamii.