letter

n 1 (of alphabet) herufi. 2 barua, waraka. ~-bomb n bomu la barua. ~-box n (US mailbox) sanduku la posta. ~-case n mkoba wa barua. letterhead n karatasi yenye anwani. ~-paper n karatasi za barua. letter-perfect adj -enye kujua kwa moyo. letter-press n maandiko (katika kitabu cha picha). 3 (phrases) keep (to) the ~of an agreement fuata sheria/makubaliano neno kwa neno bila kuzingatia maana. to the ~ kwa makini, kabisa. 4 (pl) elimu, fasihi a man of ~s mwandishi; msomi the profession of ~s uandishi. lettered adj -enye elimu. vt chapa herufi; pamba na herufi za alfabeti. lettering n maneno; uandikaji wa herufi.