n 1 limau. 2 mlimau. 3 rangi ya limau. 4 bwege. ~ dropn bonge la sukari iliyochemshwa na kutiwa limau. ~ squashn kinywaji cha limau. ~ squezern chombo cha kukamulia limau. ~ solen aina ya samaki mpana. 4 (GB) (sl) mtu mjinga na asiyevutia. lemonaden maji ya limau (yaliyotiwa sukari na maji).