legion

n 1 kikosi cha askari 3,000-6,000 wa Kirumi. 2 British L~ n Chama cha askari wa Kiingereza waliotoka vitani 1921. Foreign ~ n (French) askari wa kigeni wanaopigana vita katika nchi ya kigeni. the L~ of Honour n nishani ya Wafaransa. 3 (Lit or rhet) wingi, jeshi. legionary adj, n 1 askari wa Kirumi. 2 askari wa kigeni katika jeshi la Ufaransa adj -a askari wa Kirumi; -a askari wa kigeni wa jeshi la Ufaransa.