legal

adj halali; -a haki; -a kisheria. ~advice n ushauri wa kisheria. ~ adviser n mshauri wa kisheria. ~ aid n msaada wa kisheria. ~ capacity n uwezo wa kisheria. ~ practitioner n mwanasheria ~ profession jamii ya wanasheria, uwakili ~ tender fedha halali kwa malipo. legally adv. legalism n ushikiliaji mno wa sheria. legality n uhalali; haki. legalize vt halalisha. legalization n uhalalisho.