2adj, n,adv kushoto; -a kushoto ~side upande wa kushoto turn ~geuka kushoto. the ~ (wing)n wanasiasa wa mrengo wa kushoto (wapendao mabadiliko ya kijamaa). ~handadj -a kushoto. ~handedadj (of a person) -enye kutumia mkono wa kushoto. a ~ handed complimentn wasifu tata; wasifu wenye mashaka. leftistn mwanasiasa wa mrengo wa kushoto.