leather

n 1 ngozi (iliyotengenezwa iwe laini na isioze). 2 (compounds) ~ jacket n lava wa aina ya inzi. ~ neck n (US,sl) askari mwana maji. vt chapa, piga (hasa na ukanda wa ngozi). leathery adj -a ngozi, -gumu kama ngozi. ~ette n ngozi mwigo/bandia.