least

adj 1 dogo kuliko -ote, -lio dogo. (maths) ~ common multiple n kigawe kidogo cha shirika (KDS). ~ common denominator n kigawe kidogo cha asili (KDA). the ~ said the better ni bora kukaa kimya ~ said soonest mended (prov) heri kutosema zaidi. 2 (phrases) at ~ angalau (not) in the ~ kidogo tu; hata kidogo to say the ~ (of it) bila kutia chumvi adv (the) ~kidogo, kwa kiasi kidogo. ~ of all kabisa; jambo la mwisho no one can object ~ of all Mariamu hakuna anayeweza kupinga, hata Mariamu I would ~ of all want to hurt you jambo la mwisho ninalotaka kufanya ni kukuudhi wewe. ~wise; ~ways adv walao, angalau.