leash

n ukanda/ugwe wa kufungia/ kuongoza wanyama (hasa mbwa) hold in ~ zuia kwa ukanda; (fig) dhibiti. strain at the ~ (fig) wa na shauku kuwa huru; -wa na shauku kupata fursa ya kufanya jambo. vt zuia/funga kwa ukanda/ugwe.