learn

vt,vi 1 jifunza ~ one's lessons jifunza masomo. ~ by heart kariri. 2 arifiwa, pata habari, ambiwa I have yet to ~ if the train arrived sijapata habari kama treni ilifika. 3 (vulgar or dialect) fundisha I'll ~ you! nitakufundisha! learned adj -enye elimu, -juzi ~ed man n msomi the ~ed professions utaalamu (ualimu, uhakimu, n.k.) my ~ed colleague msomi mwenzangu. learnedly adv. learned n mwanafunzi. learning n elimu, ujuzi, usomi a man of great ~ing mtu mwenye ujuzi, mtaalamu.