lean
lean
1 adj 1 (of persons and animals) -embamba, -liokonda become ~ konda, dhoofika; (of meat) -nofu -siokuwa na mafuta. 2 -siozalisha; hafifu; ~ years miaka ya mavuno machache/mwambo. n mnofu/nyama isiyokuwa na mafuta. leanness n.lean
2 vi,vt 1 enda upande, egama. ~ over backward(s) (to do something) (colloq) fanya juu chini kumridhisha mtu, kupata kitu. 2 ~ (on/upon) egemea. 3 egemeza. 4 ~ towards elekea. 5 ~on/upon tegemea. leaning n (of mind) mwelekeo. lean-to n kibanda kinachoegemea nyumba nyingine.