leak

vt,vi 1 vuja. ~ (out) to (of news, secrets etc) (cause to) toka; fichuka, julikana. n 1 upenyu, mvujo, ufa, tundu. 2 gesi/maji yanayovuja. leakage n 1 kuvuja, mvujo. 2 kufichuka (siri). 3 kiasi kinachovuja/kinachofichuka. leaky adj.