league
league
1 mapatano baina ya watu/ vikundi/mataifa yenye malengo sawa; shirikisho, washiriki, wanachama katika mapatano. The L~ of Nations n Shirikisho la Mataifa (1919-1946). be in ~ with shirikiana na; -wa na shauri moja na. 2 (sports) ligi. vt,vi shiriki, shirikiana.league
2 n (old) kipimo cha urefu (kama maili 3).