leaf
n 1 jani; (of a coconut tree) kuti; (colloq) petali. in ~ adj -enye majani. come into ~ ota majani. ~-bud n sehemu jani linapoota. ~-mould n mboji. 2 karatasi (katika kitabu). take a ~ out of somebody's book fuata mfano wa mtu, -iga, chukua mtu kama mfano. turn over a new ~ ongoka, jirekebisha na anza upya. 3 bamba, kipande chembamba cha chuma (agh. cha dhahabu). 4 kipandemeza: ubao unaoweza kutolewa kufanya meza iwe ndogo zaidi vi ~ through (a book, etc) pitia (kwa kusoma) haraka haraka. leafless adj -siokuwa na majani. leafy adj -liofunikwa na majani, -enye majani .~let n 1 jani changa. 2 ukurasa (wenye matangazo).