lead
lead
1 n 1 risasi an ounce of ~ risasi ya bastola. ~-ore n miamba iliyo na risasi. ~ poisoning n ugonjwa unaosababishwa na sumu ya risasi. ~ works n kalibu ya risasi. 2 (also black ~) risasi ya kalamu. 3 timazi; chubwi. cast/heave the ~ pima urefu wa maji. swing the ~ (sl) kwepa/kacha kazi kwa kulaghai. 4 (pl) bati la risasi, mapaa yaliyoezekwa na mabati ya risasi; fremu za risasi. leaded adj. leaden adj 1 -a risasi. 2 -enye rangi ya kijivu. 3 zito. ~en heart n moyo mzito. leading n nafasi kati ya mistari ya chapa.lead
2 n 1 kuongoza; mwongozo, welekezo. follow somebody's ~ fuata uongozi wa. give somebody a ~ mpe mtu mfano/dokezo. take the ~ tangulia, ongoza. 2 the ~ n nafasi ya kwanza. (attrib) the ~ story n (journalism, news broadcasting) habari iliyopewa uzito wa kwanza. a ~ n kadiri ya kutangulia have a ~ of five metres tangulia kwa kiasi cha mita tano. take over/lose the ~ tangulia/rudi nyuma (katika shughuli). 3 kamba ya kuongoza mbwa, kigwe. 4 (drama) mhusika mkuu; mwigizaji mkuu. 5 mfereji (uelekeao kwenye kinu). 6 (electr) waya wa umeme. 7 (in card games) haki ya kucheza kwanza. vt,vi 1 ongoza ~ an army ongoza jeshi ~ the way tangulia, ongoza njia. ~ in n utangulizi; waya wa simu za upepo na televisheni. 2 ongoza ~ a blind man ongoza kipofu. ~ somebody astray (fig) potosha mtu, shawishi ~ somebody by the nose tawala mtu kabisa. ~ somebody on (fig) shawishi mtu afanye zaidi ya alivyotegemea ~ a woman to the altar (joc) oa. 3 tangulia. ~ off anza. 4 ongoza/ athiri/shawishi (mawazo au vitendo); fanya (kufikiri) what led you to this idea kitu gani kilikufanya ufikiri hivyo. 5 elekea; (fig) sababisha, leta your work seems to be ~ing no where kazi yako inaonekana haielekei popote. ~ up to fanya matayarisho. All roads ~ to Rome (fig) kuna njia nyingi za kukufikisha mahali fulani. 6 (cause somebody to) ishi, pitisha, endesha maisha. ~ somebody a dog's life fanya mtu aishi maisha ya dhiki, taabisha (in card games) anza. 7 ~ with (journalism) pa uzito wa juu/kwanza. leader n 1 kiongozi, mkuu, msimamizi. 2 wakili mkuu (kwa kesi fulani). 3 (GB) (newspaper) habari yenye uzito wa kwanza. 4 chipukizi. 5 ukano. leaderless adj. leadership n uongozi. leading adj kuu; -a kwanza; maarufu. a ~ ing article n maoni ya mhariri. ~ ingcase n kesi ya msingi. ~ inglight (colloq) n mtu maarufu. ~ ing question n swali linaloelekeza kwenye jibu n uongozi, usimamizi. ~ingrein n hatamu (ya kuongoza farasi). ~ingstrings n pl kamba ya kumwongoza mtoto anayefundishwa kutembea. in ~ing-strings (fig) kuongozwa/kuelekezwa kama mtoto mdogo.