lazy

adj -vivu, -zembe, -tepetevu. ~-bones n mvivu, mkunguni, mtepetevu. lazily adv. laziness n. laze (away). vt,vi jikalia, kaa kwa uvivu, -wa vivu.