lazar

n (arch) mtu maskini mwenye ugonjwa (agh. mkoma). lazaretto (also ~ et, ~ette) n 1 nyumba ya kuuguza maskini wenye ukoma na magonjwa ya kuambukiza. 2 jengo/meli iliyowekwa karantini.