layer

n 1 safu, tabaka, rusu. ~-cake n keki ya rusu. 2 (gardening) chipukizi lililofungiwa ardhini. 3 kuku wa mayai. vt panga juu kwa juu, fungia chipukizi/kichomozi cha mti ardhini; chomeka ardhini.