law

n 1 sheria ~-giver n mtoaji sheria (k.m. Musa kwa Wayahudi, Soloni kwa Wagiriki). ~-officer n mwanasheria wa serikali (US) polisi. break the ~ vunja sheria. lay down the ~ toa hoja ya nguvu; amuru, sema kwa nguvu. ~ abiding adj -enye kufuata/kutii sheria. ~ breaker n mvunja sheria. take the ~ in one's hands jichukulia sheria mkononi. go to ~ (against somebody); have the law on somebody (colloq) shitaki mahakamani. ~ court n mahakama. ~ suit n daawa, kesi; madai. 2 (esp of games or art) kanuni. be a ~ unto oneself puuza kanuni. 3 (natural~) kanuni the ~ of self-preservation kanuni za kujihifadhi. lawful adj -a kufuata sheria; halali. lawfully adv. lawless adj -a kuvunja sheria, halifu. lawless acts n vitendo vya kihalifu. lawlessly adv. lawlessness n. lawyer n mwanasheria.