laurel

n laurusi: mti aina ya mdalasini. look to one's ~ chunga heshima; fahamu jinsi ya kuwashinda washindani. rest on one's ~s ridhika na mafanikio mtu aliyoyapata. win/ gain one's ~s pata heshima/sifa. laurelled adj.