laundry

n 1 udobi. 2 the ~ n nguo chafu (zinazohitaji kufuliwa na kunyooshwa). ~ man n dobi wa kiume. launder vt,vi fua na nyoosha nguo, -wa dobi. launderette n mahala/mashine ndogo ya kufulia (ya kukodi). laundress n dobi wa kike.