laugh

vi,vt 1 cheka. ~ at cheka dhihaki; dharau; puuza. ~ in somebody's face dharau bayana. ~ one's head off vunja mbavu (kwa kicheko). ~ on the other side of one's face badilika (kutoka kwenye furaha na kuwa na majonzi). ~ over cheka huku unaendelea kufanya jambo. ~ up one's sleeve cheka/ furahi kirohoroho/kwa siri. He ~s best, who ~s last, He who ~s last ~ longest (prov) kutangulia si kufika. 2 ~ away puuza kwa kucheka kwa dharau. ~ down nyamazisha kwa kicheko. ~ off ondoa aibu kwa kucheka. 3 -wa katika hali fulani kwa kucheka. ~ oneself silly vunja mbavu (kwa kucheka). have the last ~ shinda/fanikiwa hatimaye. laughable adj -a kuchekesha. laughably adv. laughing adj -a furaha/kuchekesha. ~ gas n gesi ya usingizi. laughingly adv. laughter n kicheko.