n 1 latitudo. 2 (pl) maeneo. high ~sn maeneo yaliyo mbali na Ikweta. low ~sn maeneo yaliyo karibu na Ikweta. 3 (space, liberty, choice) nafasi, uhuru, hiari. 4 (photo) wakati wa salama wa kuangaza filamu. latitudinaladj. latitudinarianadj, n mvumilivu, mwenye upeo/upana wa mawazo.