n Kilatini; watu wenye asili ya Kilatini adj -a Kilatini. ~ American Amerika ya Kusini. the ~ Churchn Kanisa Katoliki. the ~ Quartern (of Paris) Sehemu ya ukingo wa kusini wa Mto Seine (wanakoishi wanafunzi na wasanii kwa karne nyingi). Latinistn msomi wa Kilatini. Latinizevt fanya -a Kilatini. ~ phrasesn nahau za Kilatini I speak Latin ninasema Kilatini.