late

adj 1 -liochelewa, -liokawia be ~ chelewa. 2 (of night) -kuu, -kubwa ~ night usiku mkuu, usiku wa manane. 3 mwishoni ~ summer mwishoni mwa majira ya joto. 4 -pya, -a kisasa. 5 -liopita. 6 hayati, marehemu. 7 of ~ (hivi) karibuni. at (the) ~ st kabla au siyo zaidi ya adv 1 baadaye, kwa kuchelewa. Better ~ than never (prov) kawia ufike. ~ in the day baadaye sana. ~r on baadaye. early ~ wakati wote and she is at school early and ~ yuko shuleni muda wote. sooner or ~r sasa au wakati mwingine ujao. 2 karibuni. latish adj -enye kuchelewachelewa, -liotaahari. lately adv hivi karibuni, juzijuzi.