last

last

1 adj 1 -a mwisho. ~ but not least -a mwisho katika orodha lakini si kwa umuhimu this is our ~ hope hili ndilo tumaini letu la mwisho he is the ~ person I would like to talk to yeye ni mtu wa mwisho ambaye ningependa kuongea naye; nisingependa kuongea naye the ~ thing in mass media kitu cha mwisho/kitu kipya kabisa katika utawanyaji wa habari. 2 -liopita. ~ year mwaka uliopita/jana ~ night usiku wa kuamkia leo. n the ~ of mwisho. breathe one's ~ (liter) kata roho; fariki. at (long) ~ mwishowe, hatimaye. to/till the ~ hadi mwisho (liter or rhet) hadi kifo. lastly adv (in making a list) mwisho, mwishoni. 2 mwisho she was well when I saw her ~ alikuwa na afya njema nilipomwona mara ya mwisho. vi 1 ~ (out) endelea, dumu, kaa will Salehe ~ in his new job? Salehe atakaa kwenye kazi yake mpya? 2 tosha we have enough food to ~ (us) four days tuna chakula cha kututosha kwa siku nne. lasting adj -a kudumu.

last

2 n foroma (kiatu); mguu: kibao cha kutengenezea viatu stick to one's ~ fanya yale tu uwezayo kuyamudu.