lash

n 1 mjeledi; mchapo, kiboko; kipigo cha mjeledi/kiboko. the ~ n adhabu ya kupigwa viboko. 2 eye ~ n kope. vt,vi 1 chapa, piga; sukuma (k.v. kiungo cha mwili) the rain was ~ing (against) the window mvua ilipiga dirishani. 2 ~ somebody into (a state) amsha, chochea. ~ out (against/at somebody/ something) shambulia (kwa kupiga au kwa maneno). 3 ~ one thing to another; ~ things together fungasha, funga pamoja kwa nguvu. ~ something down kaza, funga. ~ up n chombo kilichofaraguliwa/ kilichoundwa kwa haraka/bila makini. lashing n 1 kamba ya kufungia. 2 kipigo, mchapo. 3 (pl,colloq) tele, chungu nzima mangoes with ~ings of cream embe na malai chungu nzima ~ings of drink vinywaji tele.